Mpango umeandaliwa kufuatia Mpango Mkakati wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi wa Taifa (2013). Wizara imeandaa mpango huu ili kutambua na kuweza kuhimili changamoto ambazo zinaletwa na mabadiliko ya tabianchi katika kilimo. Pia Kusaidia ujumuishwaji wa changamoto za mabadiliko ya tabianchi katika uandaaji wa sera, mipango na mikakati

Download PDF

 

Download pdf file